Baada ya kuripotiwa hapo awali juu ya tatizo la kuripuka betri la simu za Samsung note 7 baada tu ya kuziweka kwenye chaji,kampuni hiyo maarufu duniani imeanza zoezi la kuzirudisha simu hizo mbovu na kuwapa wateja wake simu zingine imara.
Kampuni hiyo mpaka sasa imesharudisha kwa wateja waje simu 500,000 wakidai kuwa ni nusu tu ya simu ambazo walisambaza marekani,yaani 1,000,000.
Zoezi linaendelea.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.