Rais magufuli katika hotuba yake baada ya kupokea ndege ya pili kutokea canada,amewataka wale wanaozipiga vita ndege hizo kuwa sio nzuri na hazina spidi wakae kimya.
alikadhalika raisi amesema ndege zilizokuja zinauwezo mkubwa sana na zitasaidia kuongeza pato la nchi kupitia utalii wa kimataifa.
Pia katika uzinduzi huo rais magufuli amesema Tanzania ina hela zakutosha kununua ndege zingine mbili kubwa zenye uwezo wa moja kubeba zaid ya watu 160 na nyingine kubeba watu zaidi ya 240.
Post a Comment
Post a Comment