Aya sasa unaambiwa mtu atachukia vyotee chini ya anga lakini huwezi kuchukia mziki. Utapenda laini kama sio laini utapenda zile ngumu kumeza wenzetu wanaita Rap kama sio uko ata Taarab utapenda hata kama uko ukikosekana basi kule Uswazi mziki wao ule wa kuruka ruka kama mguuni umekanyaga kinyesi nao utaupenda tu.
Tuache mbwembwe tuingie mzigoni, moja kati ya couple isiyozungumziwa sanaaaa japo ipo hot sana hapa bongo nawazungumzia Witness a.k.a Kibonge mwepesi na kababy chake Ochu Shaggy sasa uyu tumuite Chembamba siku ya leo wametoa chuma flani ivi wa-ughaibuni wanaita Amazing kinakwenda kwa jina la Jirani uku wakimshirikisha bibie Snura na yule legend wa taarab, Mzee Yusuph. Hatari umo ndani.....

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.