Jamaa mmoja kaenda kuchota maji bombani akakuta akina mama wamejazana akawaza njia yakuwadanganya ili achote maji haraka; akawaambia nyie akina mama kuna watu wanagawa nyama barabarani ng'ombe kagongwa na gari. Wale akina mama wote wakimbilia huko kupata mgao wa nyama. Jamaa naye akafikiria kisha akaanza kuwafuata eti: haiwezekani wote wale wakimbilie huko inaweza ikawa kweli,nisije kosa nyama bure
Post a Comment
Post a Comment