Walitokea wavuta bangi watatu wakavuta bangi we mpaka mmoja akaamua kuondoka nyumbani kwake baada ya muda akaludi akiwa uchi bila kuvaa nguo yoyote akawakuta wenzake bado wanaendelea kuvuta bangi akawaambia "Je mnanionaje hii suti imentoa?" wenzake wakamjibu "Umevaa bonge la suti lakini tai umevalia chini sana"
Post a Comment
Post a Comment