Kufuatia mfululizo wa milipuko Saudi Arabia ikiwemo lile lililotokea katika mji wa Medina lililoua watu wanne(4) ambao walikuwa mapolisi,Mfalme wa saudi arabia Salman bin Abdulaziz Al Saud alikuwa na haya ya kusema
"Sisi kama ufalme,hatuwezi kufumbia macho ujangiri huu,na tunatangaza hali ya hatari kwa wale wote ambao wanahusika na milipuko hii ya kujitoa muhanga,tunatangaza Ngumi ya chuma(iron fist)"
Ikumbukwe kuwa shambulio hili lililouwa watu wanne lilitokea karibu na kaburi LA mtume Muhammad.
Post a Comment
Post a Comment