1. Mwanaume huzalisha mbegu milioni kumi za uzazi siku! Kwa maana hiyo, anauwezo wa kujaza idadi yote ya dunia kwa miezi sita tu!

2. Mtoto Mchanga ana mifupa 60 zaidi ya mtu mzima

3 Kuna kilomita laki mbili za mishipa ya damu kwenye mwili wa binadamu!

4. Misuli ya taya (mashavuni) Ndio misuli yenye nguvu kuliko misuli mingine yote kwenye mwili wa binadmu!

5.Masikio na Pua huendelea kukua bila kikomo hata binadamu akifikia utu uzima

6. Katika maisha yote ya binadamu anauwezo wa kuzalisha mate ya kujaza bwawa la kuogelea!

7.Kila binadamu ana harufu yake ya tofauti kasoro mapacha wa kufanana tu, ndio wana harafu moja!

8. Ukiamka asubuhi unakuwa na sentimita moja zaidi ya urefu kuliko jioni! Kwa sababu,wakati wa ufanyaji wa kazi mbalimbali za siku, viongio vya magotini husinyaa na kukufanya uwe mfupi kwa sentimita moja!

9. Midomo ya binadamu huwa na rangi nyekundu kutokana na kuwa na mishipa mingi sana ya damu eneo hilo!

10. Moyo wa binadamu una nguvu ya kurusha damu/maji  hadi mita nne

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.