Watatu hawa ndiyo kwa sasa waliobakia baada ya mchujo wa watu 24 ambao walikuwa wanawania tuzo ya golden boy.
Tuzo hiyo ya Golden boy kwa sasa inamilikiwa na Renato sanchez ambaye anachezea swansea kwa mkopo.
Mbappe,dembele na jesus walifika hapo baada ya kupita mchujo mkali ambao ulijuiisha watu kama rashford wa manchester united na palisic wa dortmund.
Mbappe ambaye kwa sasa anachezea PSG kwa mkopo huku akitegemea kumalizoa usajiri yake msimu ujao majira ya joto.
Mfaransa mwenzake Ousmane Dembele ambaye amekamilisha usajiri wa paundi milion 105 kwenda barcelona( kwa sasa ni majeruhi)
Gabriel jesus wa man city azidi kuwa tishio tangu apate namba kwenye kikosi cha kwanza cha city uku akipachika bao 7 katika michezo 8.
Post a Comment
Post a Comment