Kila binadamu ana ndoto za kupata familia yenye furaha, amani na upendo tele. Bila shaka hiyo ni furaha ya kila mmoja anayependa kuingia na kuanza familia, na mahusiano yananoga na kupendeza sana pale familia inapobarikiwa kupata watoto. Je itakuwaje kama mwisho wa siku hukubarikiwa kupata mtoto katika hiyo familia yako uliyoianzisha? Je utakubaliana na hali halisi baada ya kutokubalikiwa kupata mtoto?
Huko India familia moja ambayo nayo haikubalikiwa kupata mtoto kwa miaka mingi toka wafunge ndoa. "Tulisubiri miaka mingi kupata mtoto bila mafanikio, baada ya kugundua hatujabarikiwa kupata mtoto kwa kipindi kirefu mimi na mme wangu tuliamua kupanda miti mingi na kuamua kuilea kama watoto wetu" alisema Saalumarada Thimmakka akiwa na mumewe anayeitwa Sri Bikkala Chikkayya
"Tuliimwagilia maji, tuliitunza na kuilea kama watoto wetu"
Ni hadithi ya kustaajabisha lakini pia ya kushangaza lakini ndio ukweli, mpaka sasa mke huyo ana miaka 100 lakini kipindi chake chote alikitumia katika kuilea na kuitunza miti.
Mti wangu, Maisha yangu

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.