Hii ni mara ya pili operesheni hiyo iliyolenga kupinga kile chama hicho ilichodai kuwa ni ukandamizaji wa demokrasia na kuipa jina la Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta), kuahirishwa kwa sababu mbili tofauti.
Operesheni hiyo ambayo awali ilipangwa kuganyika julai 27 iliahirishwa Ili kuwapa nafasi viongozi wa dini kukutana na raisi na safari hii ilipangwa kufanyika September mosi lakini imeahirishwa kwa kile mwenyekiti wa chadema anachokiita sababu za usalama
Baada ya kuulizwa kuwa maandamano hayo yatafanyika lin tens,mbowe hakuweza kutaja tarehe kwa kudai atavifanya vyombo vya usalama vijipange kuwadhuru
Post a Comment
Post a Comment