Maafisa polisi wa marekani wamemuuwa mkimbizi mwwenye asili ya uganda baada ya kudai kuwa aliwaonesha silaha yenye ncha kali wakajua kuwa anataka kuwanfyatulia risasi.
El Cajon
Maafisa wa polisi marekani wamemuua mtu mweusi tena.
Baada ya kuuwawa ilibainika kuwa haikuwa silaha bali ilikuwa ni sigara anatoa mfukoni.

Waandamanaji kadha wamejitokeza katika barabara za El Cajon, viungani mwa mji wa San Diego, kulalamikia kuuawa kwa Alfred Okwera Olanfo, aliyekuwa na umri wa miaka 38.Bw Olango aliuawa Jumanne baada ya polisi kujibu wito kutoka kwa dadake Olanfo ambaye aliitisha msaada.Aliwaambia maafisa wa polisi kwamba kakake alikuwa anaugua ugonjwa wa kiakili.

Aliwaambia maafisa wa polisi kwamba kakake alikuwa anaugua ugonjwa wa kiakili.
Mkuu wa polisi wa El Cajon Jeff Davis amesema Bw Olango alifariki baada ya kupigwa risasi na afisa mmoja. Polisi mwenzake alifyatua risasi za mipira za kumtuliza.
Polisi wamekiri kwamba kifaa alichokuwa nacho hakikuwa silaha.
Badala yake, wamesema alikuwa na sigara ya rangi ya fedha ya urefu wa inchi tatu (7.6cm).
BBC

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.