Unaweza kutumia msemo huo wa kiswahili kwamba ipo siku panya atakaa kitako na paka wakawa marafiki. Hii imetokea nchini Marekani baada ya mpinzani mkubwa wa mgombea wa urais kwa kupitia chama cha Republican, Ted Cruz baada ya kukubali kuwa pamoja na Donald Trump.
"Nimekuwa nikifanya maombi mara kadhaa ili kupata wapi naweza kupiga kura yangu mahali sahihi" alisema Cruz
"Katika uchaguzi ujao nitampigia Trump aweze kuwa rais mpya wa Marekani"
Katika kura za ndani Cruz alishika namba mbili kwa chama cha Republican.
Post a Comment
Post a Comment