Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania inatarajiwa kukosa huduma ya Mshambuliaji wake wa Kimataifa wa Argentina na Mchezaji Bora wa Dunia Lionel Messi kwa kipindi cha majuma matatu kutokana na kuumia kifundo cha mguu katika mechi waliyotoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Atletico Madrid baada ya Godin kumchezea vibaya na nafasi yake kuchukuliwa na Arda Turan katika dakika ya 59.
Post a Comment
Post a Comment